# Lea alipoona kwamba "Lea alipopata ufahamu wa jambo hilo" # akamchukua Zilpa, mjakazi wake, na kumpa Yakobo kama mke wake "alimpatia Zilpa, mtumishi wake, kwa Yakobo kama mke" # Zilpa Hili ni jina la mtumishi wa kike wa Lea. # akamzalia Yakobo mwana "akazaa mtoto wa kiume kwa Yakobo" # Hii ni bahati njema! "Bahati gani!" au "Bahati gani hii!" # akamwita jina lake Gadi "Jina la Gadi lina maana ya "mwenye bahati"