sw_tn/gen/29/33.md

28 lines
445 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kisha akashika mimba
"Lea akawa mjamzito"
# kuzaa mwana
"akazaa mwana wa kiume"
# Yahwe amesikia kwamba sipendwi
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Yahwe amesikia kuwa mme wangu hanipendi"
# akamwita Simoni
Jina Simoni linamaanisha "kusikiwa."
# mume wangu ataungana nami
"mume wangu atanikumbatia"
# nimemzalia wana watatu
"nimezaa wana watatu wa kiume kwa ajili yake"
# akaitwa Lawi
Jina Lawi linamaanisha "ambatishwa."