# Kisha akashika mimba "Lea akawa mjamzito" # kuzaa mwana "akazaa mwana wa kiume" # Yahwe amesikia kwamba sipendwi Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Yahwe amesikia kuwa mme wangu hanipendi" # akamwita Simoni Jina Simoni linamaanisha "kusikiwa." # mume wangu ataungana nami "mume wangu atanikumbatia" # nimemzalia wana watatu "nimezaa wana watatu wa kiume kwa ajili yake" # akaitwa Lawi Jina Lawi linamaanisha "ambatishwa."