sw_tn/gen/29/01.md

20 lines
632 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# watu wa mashariki
Hii ina maana ya watu wa Paddani Aramu, ambayo ni nchi mashariki mwa nchi ya Kaanani.
# na, tazama, makundi matatu ya kondoo yalikuwa yamelala kando yake
Neno "tazama" linaweka alama ya mwanzo wa tukio lingine katika simulizi kubwa.
# Kwani kutoka katika hicho kisima
"Kwani kutoka katika kisima hicho". Msemo huu unaweka alama ya badiliko kutoka kwa simulizi kwenda kwa taarifa ya nyuma kuhusu jinsi wafugaji waliwanywesha mifugo"
# wangeyanywesha
"wafugaji wangewanywesha" au "wale waliokuwa wakitunza kondoo wangewanywesha"
# mdomo wa kisima
Hapa "mdomo" ni njia ya kuelezea uwazi. "uwazi wa kisima"