sw_tn/gen/28/16.md

12 lines
434 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akaamka katika usingizi
"aliamka kutoka katika usingizi wake"
# nyumba ya Mungu ... lango la mbinguni
Msemo wa "lango la mbinguni" linaelezea ya kwamba sehemu hii ni kiingilio cha "nyumba ya Mungu" na "mlango wa mahali Mungu anapoishi"
# Hili ni lango la mbinguni
Hii inazungumzia kuhusu mlango ambapo Mungu anaishi kana kwamba ilikuwa ni ufalme halisi ambao ulikuwa na lango ambalo mtu anatakiwa kufungua kuruhusu watu ndani.