# akaamka katika usingizi "aliamka kutoka katika usingizi wake" # nyumba ya Mungu ... lango la mbinguni Msemo wa "lango la mbinguni" linaelezea ya kwamba sehemu hii ni kiingilio cha "nyumba ya Mungu" na "mlango wa mahali Mungu anapoishi" # Hili ni lango la mbinguni Hii inazungumzia kuhusu mlango ambapo Mungu anaishi kana kwamba ilikuwa ni ufalme halisi ambao ulikuwa na lango ambalo mtu anatakiwa kufungua kuruhusu watu ndani.