sw_tn/gen/26/30.md

16 lines
334 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Isaka akawaandalia sherehe, na wakala na kunywa
Kula chakula pamoja ilikuwa sehemu ya kufanya agano na mtu mwingine.
# akawaandalia
Hapa "akawaandalia" ina maana ya "Abimeleki, Ahuzathi na Fikoli"
# wakala
Hapa "wakala" ina maana ya Isaka, Abimeleki, Ahuzathi, na Fikoli. "walikula wote"
# Wakaamuka mapema
"Waliamka mapema"