# Isaka akawaandalia sherehe, na wakala na kunywa Kula chakula pamoja ilikuwa sehemu ya kufanya agano na mtu mwingine. # akawaandalia Hapa "akawaandalia" ina maana ya "Abimeleki, Ahuzathi na Fikoli" # wakala Hapa "wakala" ina maana ya Isaka, Abimeleki, Ahuzathi, na Fikoli. "walikula wote" # Wakaamuka mapema "Waliamka mapema"