sw_tn/gen/26/28.md

20 lines
515 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nao wakasema
Hii ina maana ya Abimeleki, Ahuzathi na Fikoli. Mmoja wao aliongea na wengine wawili walikubaliana na kile alichosema. Haikumaanisha waliongea kwa wakati mmoja. "mmoja wao alisema"
# Tumeona yakini
"Tunajua" au "Tuna uhakika"
# Hivyo na tufanye agano
"Kwa hiyo tunataka kufanya agano"
# na kama sisi tulivyokutendea vema wewe
Hii inaweza kutafsiriwa kama mwanzo wa sentensi mpya. "Tumetenda mema tu kwako"
# umebarikiwa na Yahwe
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Yahwe amekubariki"