sw_tn/gen/25/27.md

24 lines
715 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akawa mwindaji hodari
"akawa hodari katika uwindaji na kuua wanyama kwa chakula"
# mtu mkimya
"mtu wa amani" au"mtu asiyekuwa na mambo mengi"
# aliye tumia muda wake akiwa katika mahema
Hii inazungumzia kuhusu muda kana kwamba ilikuwa bidhaa ambayo mtu angetumia. "aliyebaki katika mahema sehemu kubwa ya muda"
# Kisha
Neno hili linatumika kuweka alama ya kubadili mwelekeo, kutoka katika simulizi kwenda kwa taarifa ya nyuma kuhusu Isaka na Rebeka.
# Isaka akampenda
Hapa neno "akampenda" ina maana "alimpendelea" au "kumpenda zaidi"
# kwa sababu alikula wanyama ambao alikuwa anawinda
"kwa sababu alikula wanyama ambao Esau aliwinda" au "kwa sababu alifurahia kula wanyama pori ambao Esau alikamata"