sw_tn/gen/25/21.md

20 lines
629 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# alikuwa tasa
"hakuwa na uwezo wa kupata mimba"
# Rebeka mkewe akabeba mimba
Inaweza kuwekwa wazi ya kwamba Rebeka alikuwa mimba na watoto wawili katika wakati mmoja. "Rebeka, mke wake, akawa mimba na mapacha"
# Watoto hawa walipokuwa tumboni mwake wakasumbuka,
"watoto ndani mwake wakaendelea kugusana baina yao" au "Watoto walisukumana dhidi yao wenyewe ndani mwake"
# Watoto ... tumboni mwake
Rebeka alikuwa mimba na mapacha.
# Akaenda kumuuliza Yahwe kuhusu jambo hili
"Alienda kumuuliza Yahwe kuhusu suala hili". haipo wazi alienda wapi. Inawezekana alienda sehemu ya siri kuomba, au alienda sehemu kutoa sadaka.