# alikuwa tasa "hakuwa na uwezo wa kupata mimba" # Rebeka mkewe akabeba mimba Inaweza kuwekwa wazi ya kwamba Rebeka alikuwa mimba na watoto wawili katika wakati mmoja. "Rebeka, mke wake, akawa mimba na mapacha" # Watoto hawa walipokuwa tumboni mwake wakasumbuka, "watoto ndani mwake wakaendelea kugusana baina yao" au "Watoto walisukumana dhidi yao wenyewe ndani mwake" # Watoto ... tumboni mwake Rebeka alikuwa mimba na mapacha. # Akaenda kumuuliza Yahwe kuhusu jambo hili "Alienda kumuuliza Yahwe kuhusu suala hili". haipo wazi alienda wapi. Inawezekana alienda sehemu ya siri kuomba, au alienda sehemu kutoa sadaka.