sw_tn/gen/24/59.md

28 lines
842 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa hiyo wakampeleka dada yao Rebeka
"Kwa hiyo familia ilimpeleka Rebeka"
# dada yao
Rebeka alikuwa dada wa Labani. "ndugu yao" au "dada wa Labani"
# mtumishi wake wa kike
Hii ina maana ya mtumishi wa kike ambaye alimlisha Rebeka alipokuwa mtoto mchanga, akamtunza alipokuwa mtoto, na alimtumikia.
# Dada yetu
Rebeka hakuwa adad kwa kila mtu katika familia yake. Lakini walimuita kwa jinsi hii kuonyesha walimpenda. "Dada yetu Rebeka"
# na uwe mama wa maelfu na wa makumi elfu
Hapa "mama" ina maana ya mama. "na uwe mama wa mamilioni wa watu" au "na uwe na uzao mkubwa"
# maelfu na wa makumi elfu
Hii ina maana ya idadi kubwa au idadi isiyohesabika.
# uzao wako upate kumiliki lango la wale wanao wachukia
Majeshi huvunja katika malango ya miji ya adui zao na kuwashinda watu. "na uzao wako wawashinde kabisa wale wawachukiao"