# Kwa hiyo wakampeleka dada yao Rebeka "Kwa hiyo familia ilimpeleka Rebeka" # dada yao Rebeka alikuwa dada wa Labani. "ndugu yao" au "dada wa Labani" # mtumishi wake wa kike Hii ina maana ya mtumishi wa kike ambaye alimlisha Rebeka alipokuwa mtoto mchanga, akamtunza alipokuwa mtoto, na alimtumikia. # Dada yetu Rebeka hakuwa adad kwa kila mtu katika familia yake. Lakini walimuita kwa jinsi hii kuonyesha walimpenda. "Dada yetu Rebeka" # na uwe mama wa maelfu na wa makumi elfu Hapa "mama" ina maana ya mama. "na uwe mama wa mamilioni wa watu" au "na uwe na uzao mkubwa" # maelfu na wa makumi elfu Hii ina maana ya idadi kubwa au idadi isiyohesabika. # uzao wako upate kumiliki lango la wale wanao wachukia Majeshi huvunja katika malango ya miji ya adui zao na kuwashinda watu. "na uzao wako wawashinde kabisa wale wawachukiao"