sw_tn/gen/24/36.md

28 lines
689 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Mtumishi wa Abrahamu anaendelea kuzungumza kwa familia ya Rebeka.
# alimzalia mwana bwana wangu
"alimzaa mtoto wa kiume"
# amempatia ... mwanawe
"bwana wangu amempatia ... kwa mtoto wake wa kiume"
# Bwana wangu aliniapisha, akisema
"Bwana wangu amenifanya niape ya kwamba nitafanya kile alichonimabia kufanya. Alisema"
# kutoka kwa mabinti wa Wakanaani
Hii ina maana ya wanawake wa Kaanani. "kutoka kwa wanawake wa Kaanani" au "kutoka kwa Wakaanani"
# ambao kwao nimefanya makazi
"miongoni mwa wale ninamoishi". Hapa "ninamoishi" ina maana ya Abrahamu na familia yake yotena watumishi wake. "miongoni mwa wale tuishipo"
# kwa ndugu zangu
"kwa ukoo wangu"