# Taarifa ya Jumla: Mtumishi wa Abrahamu anaendelea kuzungumza kwa familia ya Rebeka. # alimzalia mwana bwana wangu "alimzaa mtoto wa kiume" # amempatia ... mwanawe "bwana wangu amempatia ... kwa mtoto wake wa kiume" # Bwana wangu aliniapisha, akisema "Bwana wangu amenifanya niape ya kwamba nitafanya kile alichonimabia kufanya. Alisema" # kutoka kwa mabinti wa Wakanaani Hii ina maana ya wanawake wa Kaanani. "kutoka kwa wanawake wa Kaanani" au "kutoka kwa Wakaanani" # ambao kwao nimefanya makazi "miongoni mwa wale ninamoishi". Hapa "ninamoishi" ina maana ya Abrahamu na familia yake yotena watumishi wake. "miongoni mwa wale tuishipo" # kwa ndugu zangu "kwa ukoo wangu"