sw_tn/gen/24/33.md

24 lines
407 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wakaandaa
Hapa neno "wakaandaa" lina maana ya watu wa familia ya Labani au watumishi wa nyumbani.
# chakula mbele yake
"kumpatia mtumishi chakula"
# niseme kile ninacho paswa kusema
"kuzungumza maneno yangu" au "nimekuambia kwa nini nipo hapa"
# amekuwa mtu mkuu
Hapa neno "amekuwa" lina maana ya Abrahamu.
# amekuwa mkuu
"amekuwa tajiri sana"
# Amempatia
Neno "amempatia" lina maana ya Yahwe.