# Wakaandaa Hapa neno "wakaandaa" lina maana ya watu wa familia ya Labani au watumishi wa nyumbani. # chakula mbele yake "kumpatia mtumishi chakula" # niseme kile ninacho paswa kusema "kuzungumza maneno yangu" au "nimekuambia kwa nini nipo hapa" # amekuwa mtu mkuu Hapa neno "amekuwa" lina maana ya Abrahamu. # amekuwa mkuu "amekuwa tajiri sana" # Amempatia Neno "amempatia" lina maana ya Yahwe.