sw_tn/gen/24/24.md

24 lines
551 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Akamwambia
"rebeka alisema" au "msichan yule alisema"
# kwake
"kwa mtumishi"
# Mimi ni binti wa Bethueli mwana wa Milka, ambaye alimzaa kwa Nahori
"Bethueli ni baba yangu, na wazazi wake ni Milka na Nahori"
# Tunayo malisho tele na chakula
Inaeleweka ya kwamba malisho na chakula yalikuwa kwa ajili ya ngamia. "Tuna malisho na chakula cha kutosha kwa ajili ya ngamia"
# kwa ajili yako kulala usiku
"kwa ajili yako kulala usiku" au "ambapo utalala kwa usiku huu"
# kwa ajili yako
Hapa "yako" ina maana ya mtumishi na wale aliosafiri naye"