# Akamwambia "rebeka alisema" au "msichan yule alisema" # kwake "kwa mtumishi" # Mimi ni binti wa Bethueli mwana wa Milka, ambaye alimzaa kwa Nahori "Bethueli ni baba yangu, na wazazi wake ni Milka na Nahori" # Tunayo malisho tele na chakula Inaeleweka ya kwamba malisho na chakula yalikuwa kwa ajili ya ngamia. "Tuna malisho na chakula cha kutosha kwa ajili ya ngamia" # kwa ajili yako kulala usiku "kwa ajili yako kulala usiku" au "ambapo utalala kwa usiku huu" # kwa ajili yako Hapa "yako" ina maana ya mtumishi na wale aliosafiri naye"