sw_tn/gen/24/05.md

32 lines
874 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Itakuwaje
"nitafanyaje iwapo"
# hatakuwa tayari kufuatana nami
"hatanifuata" au "akikataa kurudi pamoja nami"
# Je nitamrudisha mwanao katika nchi ambayo ulitoka
"Je nimchukue mwanao kuishi katika nchi ambayo umetoka"
# Hakikisha kwamba hutamrudisha mwanangu kule
Msemo "hakikisha" unasisitiza amri inayofuata. "Kuwa mwangalifu usimpeleke mwanangu kule" au "Hakika hautakiwi kumpeleka mwanangu kule"
# ambaye alinitoa mimi kutoka katika nyumba ya baba yangu
Hapa "nyumba" ina maana ya watu katika familia. "aliyenichukua kutoka kwa baba na familia yangu yote"
# aliniahidia kwa kiapo maalumu
"aliapa kiapo kwangu"
# akisema, 'Nitawapa uzao wako nchi hii,'
Hii ni nukuu ndani ya nukuu. Inaweza kuwekwa kama nukuu isiyo moja kwa moja. "akisema kwamba angempataia nchi hii kwa uzao wake"
# atatuma malaika wake
Maneno "atatuma" na ":wake" yana maana ya Yahwe.