# Itakuwaje "nitafanyaje iwapo" # hatakuwa tayari kufuatana nami "hatanifuata" au "akikataa kurudi pamoja nami" # Je nitamrudisha mwanao katika nchi ambayo ulitoka "Je nimchukue mwanao kuishi katika nchi ambayo umetoka" # Hakikisha kwamba hutamrudisha mwanangu kule Msemo "hakikisha" unasisitiza amri inayofuata. "Kuwa mwangalifu usimpeleke mwanangu kule" au "Hakika hautakiwi kumpeleka mwanangu kule" # ambaye alinitoa mimi kutoka katika nyumba ya baba yangu Hapa "nyumba" ina maana ya watu katika familia. "aliyenichukua kutoka kwa baba na familia yangu yote" # aliniahidia kwa kiapo maalumu "aliapa kiapo kwangu" # akisema, 'Nitawapa uzao wako nchi hii,' Hii ni nukuu ndani ya nukuu. Inaweza kuwekwa kama nukuu isiyo moja kwa moja. "akisema kwamba angempataia nchi hii kwa uzao wake" # atatuma malaika wake Maneno "atatuma" na ":wake" yana maana ya Yahwe.