sw_tn/gen/23/03.md

20 lines
519 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akainuka na kutoka kwa mkewe aliye kufa
"akasimama na kuacha mwili wa mke wake"
# watoto wa kiume wa Hethi
Hapa "watoto" ina maana ya wale waliotokana na Hethi. "uzao wa Hethi" au "Wahiti"
# miongoni mwenu
Wazo hili linaweza kuelezwa kwa lugha ya eneo. "katika nchi yako" au "hapa"
# Tafadhari nipatieni mahali
"Niuzie sehemu ya nchi" au "Niruhusu kununua kipande cha nchi"
# wafu wangu
Kivumishi kidogo "wafu" kinaweza kuelezwa kama kivumishi au kitenzi. "mke wangu aliyekufa" au "mke wangu ambaye amekufa"