# Sara akaishi mika mia moja na ishirini na saba
miaka saba - 'Sara aliishi miaka 127"
# Hii ndiyo ilikuwa ni miaka ya maisha ya Sara
Baadhi ya watafsiri hawajumlishi sentensi hii.
# Kiriathi Arba
Hili ni jina la mji.
# Abraham akaomboleza na kumlilia Sara
"Abrahamu alikuwa na huzuni sana na akalia kwa sababu Sara alikufa"