# Sara akaishi mika mia moja na ishirini na saba miaka saba - 'Sara aliishi miaka 127" # Hii ndiyo ilikuwa ni miaka ya maisha ya Sara Baadhi ya watafsiri hawajumlishi sentensi hii. # Kiriathi Arba Hili ni jina la mji. # Abraham akaomboleza na kumlilia Sara "Abrahamu alikuwa na huzuni sana na akalia kwa sababu Sara alikufa"