sw_tn/gen/21/28.md

28 lines
560 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Abraham akatenga wanakondoo wa kike saba peke yao
"Abrahamu aligawanya kondoo saba wa kike kutoka kundini"
# saba
"7"
# Nini maana ya hawa wanakondoo wa kike saba ambao umewatenga peke yao?
"Kwa nini umegawanya hawa kondoo saba kutoka kundini?"
# utawapokea
"utachukua"
# kutoka mkononi mwangu
Hapa "mkononi" una maana ya Abrahamu. "kutoka kwangu"
# iwe ushahidi
Neno "iwe" ina maana ya zawadi ya kondoo saba.
# ili kwamba iwe ushahidi kwangu
Kitenzi kinachojitegemea "shahidi" kinaweza kuelezwa kama "kuthibitisha". "Kuthibitisha kwa kila mtu"