# Abraham akatenga wanakondoo wa kike saba peke yao "Abrahamu aligawanya kondoo saba wa kike kutoka kundini" # saba "7" # Nini maana ya hawa wanakondoo wa kike saba ambao umewatenga peke yao? "Kwa nini umegawanya hawa kondoo saba kutoka kundini?" # utawapokea "utachukua" # kutoka mkononi mwangu Hapa "mkononi" una maana ya Abrahamu. "kutoka kwangu" # iwe ushahidi Neno "iwe" ina maana ya zawadi ya kondoo saba. # ili kwamba iwe ushahidi kwangu Kitenzi kinachojitegemea "shahidi" kinaweza kuelezwa kama "kuthibitisha". "Kuthibitisha kwa kila mtu"