sw_tn/gen/21/25.md

20 lines
626 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Abraham pia akamlalamikia Abimeleki
Maana zaweza kuwa 1) Abrahamu alikuwa akilalamika kuhusu kile kilichotokea au 2) "Abrahamu pia alimkaripia Abimeleki"
# kuhusu kisima cha maji ambacho watumishi wa Abimeleki wamekinyang'anya
"kwa sababu watumishi wa Abimeleki walichukua kisima kimoja cha visima vya Abrahamu"
# wamekinyang'anya kwake
"kuchukua kutoka kwa Abrahamu" au "wamekitawala"
# sijalisikia hadi leo hii
"Hii ni mara ya kwanza nimesikia kuhusu jambo hili"
# Abrahamu akachukua kondoo na ng'ombe maksai akampatia Abimeleki
Hii ni ishara ya urafiki na ya kwamba Abrahamu amekubali kuweka agano na Abimeleki.