sw_tn/gen/21/08.md

12 lines
453 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtoto akakua ... Isaka aliachishwa
"aliachishwa" ni lugha ya upole ya kusema mtoto alimaliza kunyonyeshwa. "Isaka akakua, na pale alipokuwa hahitaji tena kunyonya, Abrahamu aliandaa karamu kubwa"
# mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye alikuwa amezaliwa kwa Abrahamu
Jina la mwana wa Hajiri linaweza kuwekwa wazi. "Ishmaeli, mwana wa Hajiri Mmisri na Abrahamu"
# akidhihaki
Inaweza kuwekwa wazi ya kwamba alimzomea au alimcheka Isaka. "alimcheka Isaka"