# Mtoto akakua ... Isaka aliachishwa "aliachishwa" ni lugha ya upole ya kusema mtoto alimaliza kunyonyeshwa. "Isaka akakua, na pale alipokuwa hahitaji tena kunyonya, Abrahamu aliandaa karamu kubwa" # mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye alikuwa amezaliwa kwa Abrahamu Jina la mwana wa Hajiri linaweza kuwekwa wazi. "Ishmaeli, mwana wa Hajiri Mmisri na Abrahamu" # akidhihaki Inaweza kuwekwa wazi ya kwamba alimzomea au alimcheka Isaka. "alimcheka Isaka"