sw_tn/gen/19/04.md

24 lines
571 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kabla hawaja lala
"kabla watu ndani mwa nyumba ya Lutu walipolala usingizi"
# wanaume wa mji, wa Sodoma
"wanamume wa mji, yaani, wanamume wa Sodoma" au "wanamume wa mji wa Sodoma"
# nyumba
"nyumba ya Lutu"
# vijana kwa wazee
"kutoka kwa vijana hadi wazee". Hii ina maana "wanamume wa umri wote" na ina maana ya wanamume wa Sodoma ambao walikuwa wakizunguka nyumba ya Lutu.
# walioingia kwako
"waliongia ndani ya nyumba"
# kulala nao
"kushiriki tendo la ngono pamoja nao". Lugha yako yaweza kuwa na namna ya upole zaidi ya kusema hivi. "kuwajua karibu zaidi"