# kabla hawaja lala "kabla watu ndani mwa nyumba ya Lutu walipolala usingizi" # wanaume wa mji, wa Sodoma "wanamume wa mji, yaani, wanamume wa Sodoma" au "wanamume wa mji wa Sodoma" # nyumba "nyumba ya Lutu" # vijana kwa wazee "kutoka kwa vijana hadi wazee". Hii ina maana "wanamume wa umri wote" na ina maana ya wanamume wa Sodoma ambao walikuwa wakizunguka nyumba ya Lutu. # walioingia kwako "waliongia ndani ya nyumba" # kulala nao "kushiriki tendo la ngono pamoja nao". Lugha yako yaweza kuwa na namna ya upole zaidi ya kusema hivi. "kuwajua karibu zaidi"