sw_tn/gen/18/32.md

20 lines
307 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Huenda kumi wakaonekana kule
"Huenda utakuta watu kumi watakatifu pale"
# kumi
"watu kumi watakatifu" au " watu kumi wazuri"
# Kisha akasema
"Na Yahwe akajibu"
# kwa ajili ya hao kumi
"ikiwa nikipata watu kumi watakatifu pale"
# Yahwe akaendelea na njia yake
"Yahwe aliondoka" au "Yahwe alienda"