sw_tn/gen/18/09.md

20 lines
455 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wakamwambia
"Kisha wakamwambia Abrahamu"
# akasema, "Hakika nitarejea kwako
Neno "akasema" lina maana ya mwanamume ambaye Abrahamu alimwita "Bwana" katika 18:3.
# majira ya machipuko
"pale ambapo majira kama haya yatakapowadia mwaka kesho" au "muda kama huu mwaka kesho"
# na tazama
Neno "tazama" hapa linatutahadharisha kuwa makini kwa taarifa ya kushangaza inayofuata.
# mlangoni pa hema
"katika uwazi wa hema" au "katika kiingilio cha hema"