sw_tn/gen/16/01.md

28 lines
609 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sasa
Neno hili linatumika kutambulisha sehemu mpya ya simulizi na taarifa ya nyuma kuhusu Sarai.
# mtumishi wa kike
"mtumwa wa kike". Mtumwa wa namna hii alikuwa akimtumikia mwanamke wa nyumbani.
# kutopata watoto
"kutoweza kuzaa watoto"
# niweze kupata watoto kupitia yeye
"Nitajenga familia yangu kupitia kwake"
# Abram akasikiliza sauti ya Sarai
"Abramu alifanya kile Sarai alichosema"
# akamdharau bibi yake
"alimdharau bibi yake" au "alifikiria alikuwa na thamani zaidi ya bibi yake"
# bibi yake
Hapa ina maana ya Sarai. Bibi alikuwa na uwezo juu ya mtumwa wake. "mmiliki wake" au "Sarai"