# Sasa Neno hili linatumika kutambulisha sehemu mpya ya simulizi na taarifa ya nyuma kuhusu Sarai. # mtumishi wa kike "mtumwa wa kike". Mtumwa wa namna hii alikuwa akimtumikia mwanamke wa nyumbani. # kutopata watoto "kutoweza kuzaa watoto" # niweze kupata watoto kupitia yeye "Nitajenga familia yangu kupitia kwake" # Abram akasikiliza sauti ya Sarai "Abramu alifanya kile Sarai alichosema" # akamdharau bibi yake "alimdharau bibi yake" au "alifikiria alikuwa na thamani zaidi ya bibi yake" # bibi yake Hapa ina maana ya Sarai. Bibi alikuwa na uwezo juu ya mtumwa wake. "mmiliki wake" au "Sarai"