sw_tn/gen/15/14.md

40 lines
955 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Yahwe aliendelea kuzungumza na Abramu wakati Abramu alipokuwa akiota.
# Nitahukumu
Hapa "hukumu" ni lugha nyingine kwa kile kitakachotokea baada ya Mungu kutoa hukumu. "Nitaadhibu"
# wataowatumikia
Maana kamili ya kauli hii inawezwa kufanywa wazi. "ambao vizazi vyako watawatumikia"
# mali nyingi
Hii ni lahaja. "mali nyingi" au "utajiri mkubwa"
# utakwenda kwa baba zako
Hii ni njia ya upole ya kusema "utakufa"
# baba
Neno "baba" lina maana sawa na mababu. "mababu"
# utazikwa katika uzee mwema
"utakuwa mzee sana utakapokufa na familia yako itazika mwili wako"
# Katika kizazi cha nne
Hapa kizazi kimoja kina maana ya urefu wa miaka 100. "Baada ya miaka mia nne"
# watakuja tena hapa
"vizazi vyako watakuja hapa tena". Vizazi vya Abrahamu vitakuja katika nchi ampabo Abramu alikuwa akiishi, nchi ambayo Yahwe aliahidi kumpatia.
# haujafikia mwisho wake
"haijakamilika" au "itakuwa mbaya zaidi kabla sijawaadhibu"