sw_tn/gen/15/06.md

20 lines
582 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Akamwamini Yahwe
Hii ina maana alipokea na kuamini kile Yahwe alichosema ni kweli.
# akamuhesabia jambo hili kuwa mwenye haki
"Yahwe alimhesabia imani ya Abramu kama haki" au "Yahwe alimchukulia Abramu kuwa na haki kwa sababu Abramu alimuamini"
# Mimi ni Yahwe, niliye kutoa katika Uru
Yahwe alikuwa akimkumbusha Abrahamu kile alichokuwa amefanya ili Abrahamu aweze kumjua Yahwe alikuwa na nguvu kumpatia Abramu kile alichomuahidi.
# kuirithi
"kukipokea" au "ili kwamba ukimiliki"
# nitajua je
Abramu alikuwa akiulizia ushahidi zaidi ya kwamba Yahwe atampatia ile nchi.