sw_tn/gen/15/01.md

28 lines
793 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Baada ya mambo haya
"Mambo haya" ina maana ya pale ambapo wafalme walipigana na Abramu akamuokoa Lutu.
# neno la Yahwe likamjia
Lahaja hii ina maana ya Yahwe akazungumza. "Yahwe alizunguza ujumbe wake"
# neno la Yahwe
Hapa "neno" inawakilisha ujumbe wa Yahwe. "ujumbe wa Yahwe"
# ngao ... thawabu
Mungu alitumia sitiari hizi mbili kumwambia Abramu juu ya tabia yake na uhusiano wake na Abramu.
# mimi ni ngao yako
Wanajeshi hutumia ngao kujilinda kwa maadui zao. "Nitakulinda kama ngao" au "Mimi ni ngao yako kukulinda"
# thawabu
"malipo". Hii ina maana ya malipo yanayostahili kwa mtu. Maana mbili zaweza kuwa 1) "Mimi ni yote unayohitaji" au 2) "Nitakupa yote unayohitaji".
# Abram akasema, "Kwakuwa hujanipatia
"Abramu aliendelea kuzungumza na kusema, "Kwa kuwa umenipatia"