sw_tn/gen/14/15.md

16 lines
470 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Akawagawanya watu wake dhidi yao usiku na kuwavamia
Yawezekana hii ina maana ya mipango ya vita. "Abramu aliwagawa wanamume katika makundi kadhaa, na wakawashambulia maadui zao katika pande zote"
# mali zote
Hii ina maana ya vitu ambavyo maadui waliiba kutoka miji ya Sodoma na Gomora.
# mali zake
"na mali za Lutu ambazo maadui waliiba kutoka kwa Lutu"
# pamoja na wanawake na watu wengine
"pamoja na wanawake na watu wengine ambao wafalme wanne waliwakamata"