# Akawagawanya watu wake dhidi yao usiku na kuwavamia Yawezekana hii ina maana ya mipango ya vita. "Abramu aliwagawa wanamume katika makundi kadhaa, na wakawashambulia maadui zao katika pande zote" # mali zote Hii ina maana ya vitu ambavyo maadui waliiba kutoka miji ya Sodoma na Gomora. # mali zake "na mali za Lutu ambazo maadui waliiba kutoka kwa Lutu" # pamoja na wanawake na watu wengine "pamoja na wanawake na watu wengine ambao wafalme wanne waliwakamata"