sw_tn/gen/14/03.md

32 lines
987 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hawa wafalme watano wa mwisho waliungana pamoja
Taarifa ya kwamba majeshi yao walikuwa pamoja nao inaweza kuwekwa wazi. "Wafalme hawa watano wa nyuma na majeshi yao waliungana"
# miaka kumi na mbili walimtumikia
Matukio katika mistari ya 4-7 yalitokea kabla ya mstari wa 3. Lugha yakoinaweza kuwa na namna ya kuonyesha hivi.
# walimtumikia Kedorlaoma
Inawezekana walitakiwa kumlipa kodi na kumtumikia jeshini. "walikuwa chini ya utawala wa Kedorlaoma"
# waliasi
"walikataa kumtumikia" au "walisitisha kumtumika"
# walikuja na kuwashambulia
Walifanya hivi kwa sababu wafalme wengine waliasi.
# Warefai ... Wazuzi ... Waemi ... Wahori
Haya ni majina ya makundi ya watu.
# Ashteroth Karnaimu ... Hamu ... Shawe Kiriathaimu ... Seiri ...El Parani
Haya ni majina ya sehemu.
# El Parani iliyo karibu na jangwa
Huu msemo unasaidia wasomaji kuelewa El parani ilikuwa wapi. Inaweza kutafsiriwa katika sentensi tofauti kama italazimu. "El Parani. El Parani ipo karibu na jangwa"