sw_tn/gen/13/01.md

16 lines
363 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akaondoka kutoka
"kwenda" au "kuondoka kutoka"
# akaenda Negebu
Negebu ilikuwa ni eneo la jangwa kusini mwa Kanaani, magharibi mwa Misri. Hii inaweza kufanywa kwa uwazi. "akarudi katika jangwa la Negebu"
# Abram alikuwa tajiri wa wanyama, fedha na dhahabu
"Abramu alikuwa na wanyama wengi, fedha nyingi na dhahabu nyingi"
# wanyama
"mifugo" au "ng'ombe"