# akaondoka kutoka "kwenda" au "kuondoka kutoka" # akaenda Negebu Negebu ilikuwa ni eneo la jangwa kusini mwa Kanaani, magharibi mwa Misri. Hii inaweza kufanywa kwa uwazi. "akarudi katika jangwa la Negebu" # Abram alikuwa tajiri wa wanyama, fedha na dhahabu "Abramu alikuwa na wanyama wengi, fedha nyingi na dhahabu nyingi" # wanyama "mifugo" au "ng'ombe"