sw_tn/gen/11/08.md

12 lines
322 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kutoka pale
"kutoka katika mji"
# jina lake ukaitwa Babeli, kwa sababu hapo Yahwe alivuruga
Jina la "Babeli" linaonekana kama neno lenye maana ya "kuchanganyikiwa"
# alivuruga lugha ya nchi yote
Ina maana ya kwamba Yahwe alisababisha watu wote katika nchi kutozungumza lugha moja. "alichanganya lugha ya nchi yote"