# kutoka pale "kutoka katika mji" # jina lake ukaitwa Babeli, kwa sababu hapo Yahwe alivuruga Jina la "Babeli" linaonekana kama neno lenye maana ya "kuchanganyikiwa" # alivuruga lugha ya nchi yote Ina maana ya kwamba Yahwe alisababisha watu wote katika nchi kutozungumza lugha moja. "alichanganya lugha ya nchi yote"