sw_tn/gen/10/32.md

16 lines
412 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hizi zilikuwa koo
Hii inarudi nyuma kwa watu wote waliorodheshwa katika 10:1
# kulingana na
"imeorodheshwa kwa"
# kwa hawa mataifa yaligawanyika na kwenda juu ya nchi
"kutoka kwa koo hizi mataifa yaligawanyika na kusambaa nchini kote" au "Koo hizi ziligawanyika baina yao na kuunda mataifa ya dunia"
# baada ya gharika
Hii inaweza kuelezwa dhahiri au kwa uwazi zaidi. "baada ya gharika kuangamiza nchi"