# Hizi zilikuwa koo Hii inarudi nyuma kwa watu wote waliorodheshwa katika 10:1 # kulingana na "imeorodheshwa kwa" # kwa hawa mataifa yaligawanyika na kwenda juu ya nchi "kutoka kwa koo hizi mataifa yaligawanyika na kusambaa nchini kote" au "Koo hizi ziligawanyika baina yao na kuunda mataifa ya dunia" # baada ya gharika Hii inaweza kuelezwa dhahiri au kwa uwazi zaidi. "baada ya gharika kuangamiza nchi"