sw_tn/gen/09/24.md

32 lines
786 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Katika mistari ya 25-27 Nuhu anatamka laana juu ya mwana wa Hamu na baraka juu ya ndugu za hamu. Kile alichokisema Nuhu juu yao pia iliwahusu uzao wao.
# Maelezo ya Jumla:
Misemo tofauti katika mistari hii inakusudiwa kuonyesha ya kwamba hii ilikuwa shairi.
# alipozinduka kutoka katika ulevi wake
"akawa mtulivu"
# mtoto wake mdogo
Hii ina maana ya Hamu. "mwanawe mdogo, Hamu"
# Alaaniwe Kanaani
"Ninakulaani Kaanani" au "Na mambo mabaya yafanyike kwako Kaanani"
# Kanaani
Huyu alikuwa mmoja wa wana wa Hamu. "mwana wa Hamu Kaanani"
# mtumishi kwa watumishi wa ndugu zake
"mtumishi wa chini wa kaka zake" au "mtumishi mwenye umuhimu wa chini kabisa kati ya ndugu zake"
# ndugu zake
Hii inaweza kumaanisha ndugu zake Kaanani au ndugu zake kwa ujumla.