sw_tn/gen/08/15.md

12 lines
406 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Toka nje ... 17Wachukuwe
"Ondoka ...Chukua" Baadhi ya tafsiri husoma "Njoo nje ... Leta nje".
# kila kiumbe hai chenye mwili
"kila aina ya kiumbe hai" Maana yaweza kuwa 1) wanadamu wote au 2) viumbe vyote vyenye mwili, ikijumlisha wanadamu na wanyama.
# kwa kuzaliana na kuongezeka
Hii ni lahaja. Jazeni nchi na watu. Mungu alitaka wanadamu na wanyama kuzaliana, ili waweze kuwa wengi wa aina yao.